Best 5 member wa Jamiiforums mwaka 2020 mwenye ushawishi mkubwa

Kabla sijasema chochote Sweetcssy' nimemiss kukuona ukikimbia,😅

A very wonderful festival season to you and your family my darlings Depal, you real admired here too, and you know it.!!💕💕
Kwani biblia inasemaje kuhusu kukimbia kimbia? 🏃🏃

Thanks Lovly sis kwa ako ka'beautiful msg 😍 much love!
 
😂😂Vimba tu darling sis hamna namna, ndo ushajaaliwa tena uringe haswaa!

Thank you, nakupenda pia my 'beauty with brain' sis😘
 
Shukrani sana Mkuu [emoji1431] TEAM 666. Katika hili jamvi lenye wanachama zaidi ya laki 4 kuniona nastahili kuwa juu kiasi hicho kwa pumba zangu ninazoandika humu
[emoji1431][emoji1422]
[emoji23][emoji23] some time unaandika mchele sio pumba
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…