Best 5 member wa Jamiiforums mwaka 2020 mwenye ushawishi mkubwa

Best 5 member wa Jamiiforums mwaka 2020 mwenye ushawishi mkubwa

Hapo kwa hiyo listi naona ni jamaa mmoja tu ndo huwa hakimbii,hata michango yake pia inasomeka kwa wenye akili ijapokuwa sometimes analeta michango isiyo na maana coz hakuna mwanadamu mkamilifu na ukipambana naye hoja kwa hoja ukikaa vibaya anakupa knock out inabid uwe sawa kichwani pia na kimalkia pia anakimudu vizuri,so yuko vizuri jamaa apo..... nafikiri kajulikana tayari
umetueka njia pand, m'tag
 
kama ni bandiko la kutuliza kichwa em ongezea hapo ..
6. ushimen
7. taicon wa fasihi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums425187988.jpg
 
Sawa mkuu, usije ukasema sikukwambia ndiomaana ukajikuta umetenda dhambi...[emoji1787][emoji1787]
Ha ha hamna dhambi inayotakiwa kutendeka hapo, unajua japokuwa najua huku ni fake ila ninaamini 60% ya ninachokisoma, so kwangu hawa ni baadhi ya watu ninaowaelewa kwa hiyo asilimia give or take [emoji23] ila kati yao 2 - 3 najua wapk genuine
 
Back
Top Bottom