Best 5 member wa Jamiiforums mwaka 2020 mwenye ushawishi mkubwa

Best 5 member wa Jamiiforums mwaka 2020 mwenye ushawishi mkubwa

Wenye ushawishi....[emoji23][emoji23][emoji23]
1. Depal
2.@Lizzy
3. financial services
4. Chakorii
5. Joanah

Hawa wananishawoshi kusoma maandiko yao, hata kuzama DM kwa story moja mbili tatu
Asante kwa kupenda mwandiko wangu brother..

Mbona sasa sijawahi kukuona huku prime minister chief....

Mabusu nakutunuku The Wolf 😘😘😘😘😘😘💞💞💞💞
 
Hapo kwa hiyo listi naona ni jamaa mmoja tu ndo huwa hakimbii,hata michango yake pia inasomeka kwa wenye akili ijapokuwa sometimes analeta michango isiyo na maana coz hakuna mwanadamu mkamilifu na ukipambana naye hoja kwa hoja ukikaa vibaya anakupa knock out inabid uwe sawa kichwani pia na kimalkia pia anakimudu vizuri,so yuko vizuri jamaa apo..... nafikiri kajulikana tayari

Ha ha ha huyo jamaa ni kwa miaka sasa namsoma toka nimeijua Jf, hata mimi najifunza vingi toka kwake, akiingia kwenye mada basi hiyo mada nitaifatilia comment ya kwanza hadi ya mwisho..
 
Back
Top Bottom