Best African Rapper K-Jones....

Best African Rapper K-Jones....

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
1538985568425.png
 
Sasa katuzo kamoja tu mshaanza piga kelele SAA chibu akifungua kabati unajua hizo tuzo zipo ngapi???hahahahahah maskini akipata bwanaa ma****ko hulia mbwataaaa
 
Huyu msela namkubali sana,anadeserve the trophy,hata colabo zote alizoshirikishwa kafanya vyema sana,big up to him
 
Sasa katuzo kamoja tu mshaanza piga kelele SAA chibu akifungua kabati unajua hizo tuzo zipo ngapi???hahahahahah maskini akipata bwanaa ma****ko hulia mbwataaaa
Wewe wataka ulinganishe rapa na singer...wacha kujitoa ufahamu
 
Well deserved!

Kaligraph is one hell of a rapper!
 
Sasa katuzo kamoja tu mshaanza piga kelele SAA chibu akifungua kabati unajua hizo tuzo zipo ngapi???hahahahahah maskini akipata bwanaa ma****ko hulia mbwataaaa
Kwahivyo huyo uliyemtaja naye anarap? Nadhani kuna tofauti kwenye taste ya mziki kati ya wakenya na watz. Wakenya wanapenda zaidi wanamziki wa kufoka na mziki wa hiphop na dancehall.
 
Jamaa anajua huyu huku Tz kachafua kwa collabo Kali na wasanii wakubwa huku kama kina Rayvan,young killer,Rostam dah ngima zote kuntu! Salute
 
Back
Top Bottom