Best Both Legs Shooter

Kweli kabisa
Dembele huyu kijana miguu yake miwili ina nguvu sawa akipiga huoni tofauti

Kama umewahi kucheza utajua kuwa lazima wengi mguu mmoja unakuwa na nguvu sana kuliko mwengine, ila huyu jamaa anawasha yote yote tu sawa sawa
 
PAVEL NEDVED alikuwa alikuwa anapiga faulo,penalty na kona kwa mguu wowote anaotaka na kwa usahihi!
 
H
Santi ana daraja lake peke yake.
Anachokifanya mguu wa kulia kwa ustadi ndicho mguu wa kushoto kinafinyika kwa ustadi ule ule, yule Mbwa Hana weak foot.
hatari sana kile kiumbe, alikuwa fundi mnooo
 
Kweli mkuu, basi kumbukumbu zangu ziko hovyo, nakumbuka mara kibao hleb akidrible na mguu wa kushoto..
Sahihi hata alipokua barca wengi kumuotea anaelekea mguu gani ilikuwa shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…