Best Both Legs Shooter

Best Both Legs Shooter

Kweli kabisa
Dembele huyu kijana miguu yake miwili ina nguvu sawa akipiga huoni tofauti

Kama umewahi kucheza utajua kuwa lazima wengi mguu mmoja unakuwa na nguvu sana kuliko mwengine, ila huyu jamaa anawasha yote yote tu sawa sawa
 
PAVEL NEDVED alikuwa alikuwa anapiga faulo,penalty na kona kwa mguu wowote anaotaka na kwa usahihi!
 
Back
Top Bottom