Best business, best results, smart people - be a part

big-diamond

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
422
Reaction score
555
Wadau,

Ni matumaini mpambano wa maisha unaendelea kama kawaida.

Mimi ni mjasiriamali, nilianzisha kampun ambayo ilisajiliwa miaka mitatu iliyopita ambapo mwaka huu biashara imekuwa more serious.

Ninafanya management consultancy, level yangu ya elimu kama top official katika kampuni ni MBA na nina staff watatu ofisini wanaosapoti day to day running za kampuni.

Tuna ofisi ambayo ipo well furnished.

Kimkakati kwa maana ya planning na mifumo yote ya ofisi kwa kiasi kikubwa tupo vizuri. Tunayo mipango ya operation na timu yetu ni ya vijana ambao wana weledi katika maeneo yao.

Tuna mahusiano na makampuni makubwa ya India, Marekani na South Africa katika maeneo yetu ya biashara.

Katika mpango wetu wa mapato kwa mwaka huu 2013/2014 tunakadiria kuingiza kiasi cha milioni 200, ukiondoa operational cost zote tunabakiwa na milioni 100 kama faida.

Shida yetu kwa sasa ni mtaji kwa ajili ya marketing ya services na product zetu. Tumekadiria tunahitaji wastani wa milioni 2 kila mwezi kwa miezi 5, ambao inatumika kwa marketing. Yaani tunahitaji milioni 10 ambazo si lazima zitolewe zote.

Atakaye tusapoti tutamrejeshea principle + 30% ya pesa yake yote mwezi mmoja baada ya miezi 6 kwisha yaani ule mwezi wa saba, au tukafanya makubaliano tofauti kwa vile tutakavyojadiliana.

Mdau ambaye angependa kuwa sehemu ya mafanikiwa tunamkaribisha kwa majariano zaidi. Au anaweza nipigia simu +255 754 237973 au email: richsamtz@yahoo.com

Plz serious people only should contact.
 
mkuu hongera sna i see how u take things in big way i have my venture too hope to launch it very soon
 
Mkuu shukran, hongera kwa michakato hiyo hope na sisi pia tutatoka coz plan yetu ya ukuaji ni nzuri sana..
 
Wadau,

Ni matumaini mpambano wa maisha unaendelea kama kawaida.

Mimi ni mjasiriamali, nilianzisha kampun ambayo ilisajiliwa miaka mitatu iliyopita ambapo mwaka huu biashara imekuwa more serious.

Ninafanya management consultancy, level yangu ya elimu kama top official katika kampuni ni MBA na nina staff watatu ofisini wanaosapoti day to day running za kampuni.

Tuna ofisi ambayo ipo well furnished.

Kimkakati kwa maana ya planning na mifumo yote ya ofisi kwa kiasi kikubwa tupo vizuri. Tunayo mipango ya operation na timu yetu ni ya vijana ambao wana weledi katika maeneo yao.

Tuna mahusiano na makampuni makubwa ya India, Marekani na South Africa katika maeneo yetu ya biashara.

Katika mpango wetu wa mapato kwa mwaka huu 2013/2014 tunakadiria kuingiza kiasi cha milioni 200, ukiondoa operational cost zote tunabakiwa na milioni 100 kama faida.

Shida yetu kwa sasa ni mtaji kwa ajili ya marketing ya services na product zetu. Tumekadiria tunahitaji wastani wa milioni 2 kila mwezi kwa miezi 5, ambao inatumika kwa marketing. Yaani tunahitaji milioni 10 ambazo si lazima zitolewe zote.

Atakaye tusapoti tutamrejeshea principle + 30% ya pesa yake yote mwezi mmoja baada ya miezi 6 kwisha yaani ule mwezi wa saba, au tukafanya makubaliano tofauti kwa vile tutakavyojadiliana.

Mdau ambaye angependa kuwa sehemu ya mafanikiwa tunamkaribisha kwa majariano zaidi. Au anaweza nipigia simu +255 754 237973 au email: richsamtz@yahoo.com

Plz serious people only should contact.

Nenda kwa financial institute mbona zipo nyingi tuuu!!! Kwann ukope kwa watu!! with 30% riba?
I smell usanii na utapeli, y wasting pples time?
 
Back
Top Bottom