Best female artist wa Tanzania!!

Best female artist wa Tanzania!!

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Screenshot_20220105-154242.png
anitwa saraphina ndio mwanamuziki wa kike bora kwa Sasa Tanzania Hana mpinzani wana Jamii forums naombeni support yenu kwa huyu mwanadada
Screenshot_20220105-155128.png


Screenshot_20220105-154332.png
 
Kwa mujibu wa takwimu confidential kutokea network assessor wimbo wa pekecha ndio unaongoza kwa kutumiwa Kama caller tune!
Screenshot_20220105-162443.png
 
Huwa nakukubali Sana genius wa JF Hawa wengine wamekariri mziki ni Mandi au zuchu!
Mi siyo producer wa muziki ila sauti yake ni powerful sana, akipata producers and promoters wakati tutamsikia anga zingine kabisa mkuu, sio kama nampamba au nini ni kitu alichonacho. all she needs is promo/guidance
 
Back
Top Bottom