Best female artist wa Tanzania!!

Best female artist wa Tanzania!!

Hata kama unamkubali huyo uliyempost

Isiwe sababu ya Afrikani prinsensi wetu NANDY kumuita MANDI!!
Joanah Mandi ni mzuri ila saraphina kampita mbali Sana jaribu kuskiliza hata kibao chake kimoja utanipa majibu!
 
Mkuu sio Mimi hizo ni takwimu tuu! East Africa nzima inakubali kwanini wewe umpinge njoo na facts!

ukiongelea numbers mkuu at least uje na peformance yake katika online platforms kama youtube, show alizofanya na review zake pamoja na kuangalia mega hits alizofanya

I love saraphina, yupo talented na ana back up ya clouds ambayo ni faida kwake. Ila kwa mwaka huu ni battle ya Nandy na Zuchu kwa wasanii wa kike
 
Unawafahamu music critics mkuu!
 
Hata mimi naweza kuwa music critic ila kinachotutofautisha ni credibility. Labda uniambie kama wapo walio credible ambao siwajui
Unaonekana unauelewa sasa nimesema music critics wa east Africa ndio wamesema ni msanii Bora wa kike Tanzania kwa Sasa kulingana na vigezo!
 
Unaonekana unauelewa Sasa nimesema music critics wa east Africa ndio wamesema ni msanii Bora wa kike Tanzania kwa Sasa kulingana na vigezo!
Shukrani ila hao music critics ndio nani

maana U.S.A wana music charts na pia wana_rate albums au nyimbo kutokana na mauzo yake katika copies za kawaida na online, circulation katika media.

Pia wapo critics ambao wapo katika music industry pengine ni producers au watu wenye elimu kubwa ya muziki, ambao wao huchambua wimbo kitaalamu kuanzia lyrics, vocal range etc .kitu ambacho sijui kama kipo East Africa labda unijuze mkuu
 
Uko sahihi 100% Kuna takwimu za Siri zinacirculate chini chini kuwa ndiye anaongoza kwenye mauzo ya caller tune kwa wasanii wa Tz.
 
Uko sahihi 100% Kuna takwimu za Siri zinacirculate chini chini kuwa ndiye anaongoza kwenye mauzo ya caller tune kwa wasanii wa Tz.
Sasa mkuu ushasema takwimu za Siri, Sasa imekuaje wewe ukazijua kama ni za Siri? na sie tuta amini vipi hizo takwimu za Siri ilhali takwimu za wazi zinamkataa msanii wako

Maana Kwa akili ya kawaida tu, ukiangalia takwimu za most streamed female East Africa utakuta Zuchu na Nandy wanakimbizana, wakifatiwa na Maua

kwahiyo Kwa hao ata mtu aje aseme oya kuna takwimu za Siri zinaonesha Maua sama ndio anaongoza kwenye matumizi ya callertune at least unaweza argue Kwa facts

Sasa msanii audience tu inaonekana bado haijamtambua msanii wako inakuaje aongoze caller tune, hao wanaomuweka sana callertune sindo wange stream Boomplay, YouTube,Audiomark nk

Nadhani ungejikita kwenye kutukumbusha kuwa kuna msanii mwingine wa kike ana kipaji kikubwa ana uwezo mkubwa maana mafanikio na talent wise ni vitu viwili tofauti hapo ila kakosa support hivo tukamsapoti

Kwahiyo watu tungejikita kuitafuta hiyo sauti mpya Kwa maskio yetu na angepata support if she deserved, sa Cha ajabu wakati huo huo unamuombea support we unakandia wasanii wenzie ambao ndio huwezi kuskia nyimbo 3 za wadada Kali bila kuwaskia wao

Na bora ungemuita best upcoming female artist wa Tanzania, na sio Best female artist wa Tanzania, utakuaje Best female artist wa Tanzania ilihali bado anaombewa support jamii forum brother, Sasa huo ubest kautoa wapi
 
ukiongelea numbers mkuu at least uje na peformance yake katika online platforms kama youtube, show alizofanya na review zake pamoja na kuangalia mega hits alizofanya

I love saraphina, yupo talented na ana back up ya clouds ambayo ni faida kwake. Ila kwa mwaka huu ni battle ya Nandy na Zuchu kwa wasanii wa kike
Saraphina ndo anayejipa jingle za top hour clouds..lazima wambebe
 
Hivi zuhura ana maajabu gani eti....

Niambie nyimbo gani ya Zuhura inaufikia japo kidogo wimbo wa EX remix wa Mimi mars....
Zuchu kinachombeba ni uandishi mzuri anajua kuipangilia mistari na ikasikilizika,ana vina vya kati na mwisho.nadhani hiki ndicho kinachowabeba WCB kwani wasanii wake wanatumia utundu huo (hapo naongea kama mwana hip hop) suala la sauti na melody huko mimi sio mtaalamu sana. Mimi napenda kusikiliza hip hop ngumu lakini wimbo wa zuchu "raha" uko kwenye playlist yangu na huwa nausikiliza siuchoki na sio kwa sababu ya sauti ya zuchu hapana ni mpangilio wa mashairi ya wimbo

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom