We ndo mtu wake wa A&R huku JF sio?Kapitwa mbali Sana ila kwa mujibu wa takwimu!
Mi siyo producer wa muziki ila sauti yake ni powerful sana, akipata producers and promoters wakati tutamsikia anga zingine kabisa mkuu, sio kama nampamba au nini ni kitu alichonacho. all she needs is promo/guidanceHuwa nakukubali Sana genius wa JF Hawa wengine wamekariri mziki ni Mandi au zuchu!
Huwa nakukubali Sana genius wa JF Hawa wengine wamekariri mziki ni Mandi au zuchu!
Mkuu nimekuwekea moja ya kibao CHAKE kisikilize Hana mpinzani kwa Sasa Tanzania!