Best FIFA men's coach award , Wenger na Morinho chali .

Best FIFA men's coach award , Wenger na Morinho chali .

Klopp ana record nzuri sana akiwa Ujerumani. Liverpool ni kama ziada

Huu ni msimu wa pili kwa Klopp pale Liverpool na hizi ni tuzo za kocha bora wa mwaka. Klopp ajamaliza top 4 wala ajachukua kombe lolote zaidi ya kuishia fainali ya Europa. Kocha wa Sevilla Unai Emry aliechukua Europa hayupo kwenye hiyo list. Kocha wa Chile aliechuka Copa America hayupo kwenye hiyo list. Sijui ni lini watamaliza haya magumashi kwenye soka letu.
 
Back
Top Bottom