Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
evra na ronaldo,
Irwin na giggs
hapo sawa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
evra na ronaldo,
Irwin na giggs
mkuu hapa mi nimeangalia partnership yao kwa ule msimu wa mwisho wa di maria akiwa madrid, any way nyingne ni carlos na figo
Hii ya Carlos na figo ndio IPI mkuu!
Hii ya Carlos na figo ndio IPI mkuu!
kaka, figo alikua ni attacking mid na carlos alikua ni left back pindi wapo wote madridi kipind cha galactico but partner ya mwaka 2000 ndio naizungumzia luis figo anachukua balloon, na carlos anakua best deffender of the year, au swali lako sijalielewa?
Mleta mada unajichanganya. Mwanzo ulivyoanza mim binafsi nilielewa jinsi beki na huyo midfielder walivyokuwa wanashirikiana vizuri ila badae naona umeweka mada as jinsi beki alivyokuwa vizur na midfielder regardless position walizokuwa wanacheza uwanjani.
Ndio maana mwanzo Messi na Alves wt ilikuwa kulia sawa na Neville na Beckham. Ila ulipoweka Di maria na Marcelo utata ukaanza. Hivyo hata Figo na Carlos bado unaleta utata. Manake Figo kulia na Carlos kushoto.
Herrera, Figo alikuwa anatokea kulia brotrher, japo alikuwa ana-switch kadri mchezo ulivyokuwa unakwenda, ila sio sahihi kusema alikuwa na patnership na Carlos. Mcheki kwa kifupi hapa chini
yah, video nimeiona kaka, but nakumbuka kama kumbukumbu zngu zitakua sawa, game ya kwanza mi kumuona carlos na uzi wa madrid ilikua ni uefa final 2000 versus valencia hii game carlos alicheza left kaka (believe me) mechi ya pili (ninayokumbuka alicheza left) ilikua ni ile na leverkusen 2002, two years later alikua ni miongoni mwa top 5 best left back appointed by FIFA along side maldin. (correct me if am wrong)