Best Hip-Hop MC's of all time Bongo (Top five)

Apart from hao top five pia wapo Mc's wengine wakali km stereo, one the incredible, Godzilla, p the mc country boy, na wengine wanaofanya vizuri

Kindly regards
Dagger-v

eti country boy naye ni EmCee Mkali daaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kweli ww ni mwanazuoni mgeni kama jina lako lilivyo
 
Nice knowing there's still a place for the rap we old heads grew up loving
 
Unanshangaza eti langa alikua anajisifia hv umeshasikiliza ngoma km am supplying, rafiki wa kwel,na kifo jela Au taasisi, Huyu jamaa labda ulikuwa unamsikiliza kwa mawenge n moja Kati ya mc mkali sana... Huyo mzee wa kukopy mbona Ye mwenyewe anatambua uwezo wa langa
 
Na Chidbenz kuwa juu ya Nikki mbishi jaribu kufanya tathmini tena may be umefanya conclusion ukiwa umebase kwenye upendo ila tukiangalia facts Chidbenz adeserve kuwa juu ya Nikki mbishi.
Hebu angalia ulichoandika then ujitafakari upya
 
eti country boy naye ni EmCee Mkali daaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kweli ww ni mwanazuoni mgeni kama jina lako lilivyo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] fala ww.. Country japokuwa amebase kwenye trap lakini ni hip-hop... Jamaa anajua saana
 
Ukioondoa kiburi chake Nikki Mbishi Angekuwa bora wa muda wote......alikuja vzuri tukampokea ila akachange siku hizi haimbi kama "Sauti ya jogoo tena"
Sure bro jamaa kiburi ndo kimemfikisha hapo alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…