Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apart from hao top five pia wapo Mc's wengine wakali km stereo, one the incredible, Godzilla, p the mc country boy, na wengine wanaofanya vizuri
Kindly regards
Dagger-v
umejaza bongo flavour wengi mnoMy top 5
1. Prof J
2. Fid Q
3. SoloThang/JayMo/MwanaFA/Afande
4. Ngwea/Chid Benz
5. Joh Makini
namna 8 bora hata ungemuwekapo mr nice1.Prof Jay
2.Chid Benz
3.Fid q
4.Mangair
5.Jay MO
6.Mwana Fa
7.Solo Thangs
8.Inspector Haroun
9.Afande Sele/Ay
10.One/Niki Mbishi
Unanshangaza eti langa alikua anajisifia hv umeshasikiliza ngoma km am supplying, rafiki wa kwel,na kifo jela Au taasisi, Huyu jamaa labda ulikuwa unamsikiliza kwa mawenge n moja Kati ya mc mkali sana... Huyo mzee wa kukopy mbona Ye mwenyewe anatambua uwezo wa langaSikubaliani na wewe kumuweka Fid Q kwenye level moja na Langa kwa sababu
1. Mistari ya langa ilikuwa imebase kwenye kujisifia wakati Fid anagusa kotekote.
2. Flow ya langa ilikuwa haibadiliki wakati Fid inabadilika
3. Idadi ya ngoma walizonazo na hitsongs Fid anaongoza wakati Langa anasubiri na hii kabla hajafa
4. Fid naye alikuwa anaweza kuflow kwa kiingereza
5. Fid anaweza kuelezea story kwenye flow
Conclusion.
Kumfananisha Fid na Langa nikumkosea heshima Bongo hiphop Icon wetu.
Hebu angalia ulichoandika then ujitafakari upyaNa Chidbenz kuwa juu ya Nikki mbishi jaribu kufanya tathmini tena may be umefanya conclusion ukiwa umebase kwenye upendo ila tukiangalia facts Chidbenz adeserve kuwa juu ya Nikki mbishi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] fala ww.. Country japokuwa amebase kwenye trap lakini ni hip-hop... Jamaa anajua saanaeti country boy naye ni EmCee Mkali daaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kweli ww ni mwanazuoni mgeni kama jina lako lilivyo
JOH makini na Nikki wa pili Hebu waondoe haraka hapoFid q
Ngweir
John makin
profesal j
Nikii was pili
Songa
Sure bro jamaa kiburi ndo kimemfikisha hapo alipoUkioondoa kiburi chake Nikki Mbishi Angekuwa bora wa muda wote......alikuja vzuri tukampokea ila akachange siku hizi haimbi kama "Sauti ya jogoo tena"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km Wakina naniumejaza bongo flavour wengi mno
My top 5
1. Prof J
2. Fid Q
3. SoloThang/JayMo/MwanaFA/Afande
4. Ngwea/Chid Benz
5. Joh Makini
Jamaa alikwambia ukweli ni kua,we kweli mwanazuoni mgeni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] fala ww.. Country japokuwa amebase kwenye trap lakini ni hip-hop... Jamaa anajua saana
Nimeangalia mkuu na nishajitafakari.. Endelea na mawazo yako.Hebu angalia ulichoandika then ujitafakari upya