Best Hip-Hop MC's of all time Bongo (Top five)

Ntajie albums tano za Sugu unazozijua
Tano tu! mi nakutajia na miaka kabisa na zote ninazo,nyingi kwa mfumo wa casette.
Nyie madogo wa juzi mnajua nini zaidi ya kuwasikiliza walamba lips
1.Ni mimi(1995)
2.Ndani ya bongo(1996)
3.Niite Mister ii(1998)
4.Nje ya bongo(1999)
5.Millenium(2000)
6.Muziki na maisha(2001)
7.Itikadi(2002)
8.Sugu(2004)
9.Coming of age(2006)
10.Veto(2009)
 
Anatambulika km muhasisi.. Lakini inspirations zimetoka kwa wengine
Wewe si umemuweka Jay kama namba moja wako...sasa kamuulize ni nani aliemuinspire kurap hapa bongo kama hatomtaja sugu.kabebwa sana kupewa nafasi kurap kwenye baadhi ya shows za sugu enzi hizo.
Halafu eti mshabiki jina tu wa juzijuzi unataka kuukataa ukweli
 
hapa tunaweza enda sawa
 
Hebu fanyeni comparison pia na tuzo walizochukua ili tuone criteria ya kusema huyu ni best mc compared to someone else
 
Mkuu mimi binafsi Fid Q hawezi kuwa juu ya Ngwair ikiwa yeye mwenyewe Fid kwa mdomo wake alikiri ameshawahi kufuta verse kwa7bu ya Ngwair kwenye wimbo wa "CNN". Ngwair is the best rapper ever
 
Mkuu mimi binafsi Fid Q hawezi kuwa juu ya Ngwair ikiwa yeye mwenyewe Fid kwa mdomo wake alikiri ameshawahi kufuta verse kwa7bu ya Ngwair kwenye wimbo wa "CNN". Ngwair is the best rapper ever
Mkuu umesema ukweli Ngwair adse hana mfano.. .best mc ever, jamaa walimdhulumu sana Kupitia albums, kwenye shows wakawa wanamlipa pesa kidogo yan alikua ana maisha ya stress sana Ila bado aliweza kufanya game vizuri
 
Mkuu umesema ukweli Ngwair adse hana mfano.. .best mc ever, jamaa walimdhulumu sana Kupitia albums, kwenye shows wakawa wanamlipa pesa kidogo yan alikua ana maisha ya stress sana Ila bado aliweza kufanya game vizuri
Ni kweli kabisa hata ukicheki album yake ya "A.K.A MIMI' hakuna wimbo ambao utapeleka mbele bila kusikiliza. Jamaa aliweza kufanya Hip hop kupendwa na kila rika na jinsia zote.
 
Katika hzo albums 11 nkikuambia unitajie hata 5 kwa majina nna uhakika hutataja ..hii n dhahiri kabisa kuwa jamaa ndio kafanya mengi but yenye mashiko ni machache
Futa kauli yako mkuu...then kama kitu huelewi bora uombe kueleweshwa kuliko kufanya ubishi mwishoni unaumbuka tu.

NI MIMI
NDANI YA BONGO
NJE YA BONGO
MILLENIA
MUZIKI NA MAISHA
SUGU
COMING OF AGE
ITIKADI
Vipi inatosha au niongeze sauti?
 
Futa kauli yako mkuu...then kama kitu huelewi bora uombe kueleweshwa kuliko kufanya ubishi mwishoni unaumbuka tu.

NI MIMI
NDANI YA BONGO
NJE YA BONGO
MILLENIA
MUZIKI NA MAISHA
SUGU
COMING OF AGE
ITIKADI
Vipi inatosha au niongeze sauti?
nimepitia uzi mzima,watotot wapumbavu sana,ukichambua ngoma kali za sugu utapata nyingi kuliko joh makini na wasanii wengine watafanya katika maisha yao ya muziki,mtu ana albam 11 afu unamletea dharau,na albam hizo wimbo wa mapenzi ni mmoja tu kila albam,siku hizi wanavyoviimba hata havieleweki
 
Umedefend post yako vizuri sana, unaelewa unachoandika
 
Katika watu walioongea point ya msingi wewe umeongea,na hii thread ingeishia hapa. 1.NICK MBISHI 2.NICK MBISHI 3.NICK MBISHI 4.PR.JAY 5.SOLO THANG 6.MARK D mzee wa jumba bovu watu hawakumwelewa huyu mwamba ila ana mistari na flow kali 7.Afande sele 8.GOD ZILLA mzee wa la kuchumpa RIP 9.FID Q 10.YOUNG KILLER akiendelea kukaza kwa miaka mingine 5 anastahili kuwepo hapo
 
Hawataki kutoa respects to the OGs
 
kwa wasanii niliyowasikiliza
1.Professor jay
2.Mwana Fa
3.Fid q
4.Ngair
5.Chid benz Chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…