Hivi kitambi hutokana na kula sana au ni niniKitambi loading..π
View attachment 3633870View attachment 3633871View attachment 3633870
Ngoma hiyo hapo nimekula haina kemikali za viwandani wala sumu, ikitokea basi ni 2%πππ
Ntumie picha za safari lager mshana
unanipa ushauri gan ili mapafu yasijae?Mapafu yatajaa usumbue madoctar mloganzila
Nimekiona kinaanza π.Kitambi loading..π
kitambi kinatokana na kula sana vyakula vya wanga na mafuta tumbon yanakuwa hayafanyi kaz yanaludikana mpaka kitambiHivi kitambi hutokana na kula sana au ni nini
Tawire π€Unajikuta upo Jamaica na Bob Marley. π
Nitakutafuta unisaidieUje Kilingeni nina tiba asilia
Mambo yangu kabisa haya.
Aika mbePepsi baridiii ikisindikizwa na chalari la moto au kiburu
ππππ Maana nikaw nawaza inakuwaj mtu anakul kidg ananiach mezan af tumbo lake ni yangu matatu πBeer na michemsho ya bar ogopa sana hiyo kolabo haivimbishi inafutuzaπ