Best kolabo yako ni ipi hapa

Habari yafo sho mshana,, wishi rombo ???
 
Ngoja nihakikishe sipati kitambi πŸ˜‚ maana mazoez yenyew daaah πŸ˜‚
Kaa mbali na wanga na vyakula vya sukari hasa ya viwandani.. Usiku kula mapema kula kidogo
 
Kishaka/kichaka cha rombo akua au nyakua au amekua sha ikari la mwaka wa 47

Kina lyimo wajomba zangu
Kihamba kya Rombo kyahuha (or kyasorwa) tangu omwaka o arobaini na saba (1947). Wanyekuru wako mbe ni akina Lyimo."
 
Mwanzo nilikuw na Six packs lakin saiv ni za kuscan πŸ˜‚
Yaani anza kamba na pushups fasta πŸ˜‚ vitambi vinasababisha viber100πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ˜‚πŸƒπŸΏ
 
Na mlo 1 kwa siku ili nibaki na mbavu tu
Hapana kula mara 2 tuu
Asubuhi na mchana Ila epuka vyakula vya mafuta wanga na sukari
Jioni the best kula kidogo na fruits kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…