π€£π€£π€£
Kaz zetu znyew hiz sedentary lifestyle sio poaUtaona mabadiliko makubwa ukiwa serious ndani ya muda mfupi
Unajua umri wangu lkn πUna bahati sanaπͺπΏ
Frustrations za kupungua, bora usinenepe tu mkuuMbn mm sinenepi mzee nna kg 56
Mm kunenepa ni ngumu bhn i have tried vingi naona hapa ndo penyewe sasa π ishu wadg zangu wanalipuka as if wamewekewa UREAFrustrations za kupungua, bora usinenepe tu mkuu
Hpn ndo nipo early 30sAge go!?
Hii ni chat gipiti min -me nkiki mbe mburaaaaaaaaKihamba kya Rombo kyahuha (or kyasorwa) tangu omwaka o arobaini na saba (1947). Wanyekuru wako mbe ni akina Lyimo."
Daaah me mzee wangu akiwa na umri huu alikuwa π₯π₯ mpk ananiuliza hulagi nn kijana Ila ndo inheri maake mzee wake hakuwa na mwili mkubwa ko wao wamerithi kwa bi mkubwa wao ambaye ni grandma kwanguDah bado sana sanaπ€£ By that age nilikuwa kama wewe kifua kipana flat tummyπ₯ ni mwendo wa Tshirt na jeans.. Siku hiziπͺ
Ni kawaida kwa watoto wa mwanzo kuwa na udumavu maana mnapatikana kipindi ambacho wazazi hawajajipata na mkishakua, mnakomazwa na majukumu . So achilia moyo kaka unenepe πMm kunenepa ni ngumu bhn i have tried vingi naona hapa ndo penyewe sasa π ishu wadg zangu wanalipuka as if wamewekewa UREA
Ukifikish 90 utatak tena 100 had 150 πJitahidi.. Mimi mwenyewe napambana kuitafuta 90π
Jani,maakuli,tizi,mma,mikito.πMisosi na soda
Mazoezi na maji
Mmea na mikito
Mmea na vikali
Mmea na vilevi
Huchagui hubagui
π€Mazoezi na maji
Shukran sanaKwa moyo mkunjufu karibu