best man na matron wa harusi mhhhh!

Kuna wengine wanachukuana kweli baada ya harusi , ila mie sijawahi ona wivu partner wangu akisimamia harusi, nahsi ni kama ushamba tu tena nakuwa free, kuna moja mpaka niliitwa na mc kwa mic coz nilikuwa nje, na matron alichukuliwa kama huyo mwenye tshirt na sandalz,nikawahi kufungua nae, ila mie nikisimamia jamaa anapata donge sana ila haji kucheza mziki
 
mke wangu hashikwi kiuno na mwanaume mwingine, labda kama wanafungua mziki na kiduku!
 


Eh hii sijawahiiona mydia but kama ishafikia hivi mh si dalili nzuri. Nijuavyo mie ni kuwa kama wasimamizi wa arusi si mke na mume basi wakati wa kufungua mziki Best man haruhusiwi kushika kiuno cha Matron but anacheza wakiwoa wameshikana mikono!! Blues la mikono. Sasa hii ya kumnyang'anya Best man patner na kumwacha pekee kama mwenzi wake hayupo mh..............

Kaazi kweli kweli
 
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli.....
 

MJ1 mambo yapo sana tu kwenye maharusi...,nadhani drama za mapenzi zimekuwa nyingi mnoooo watu hawajiamini kabisaaaa na wanaume/wake zao!
 
mke wangu hashikwi kiuno na mwanaume mwingine, labda kama wanafungua mziki na kiduku!

isiusemee moyo ndugu yangu usikute kuna wanaoshika hicho kiuno pasipo wewe kuona,
 
MJ1 mambo yapo sana tu kwenye maharusi...,nadhani drama za mapenzi zimekuwa nyingi mnoooo watu hawajiamini kabisaaaa na wanaume/wake zao!

Nailyne haya mambo yanashangaza sana sometimes huwa ninatamani kustick as an African traditional woman kwka kweli. Mapenzi ya siku hizi na ya usasa yana drama nyingi tu. Halafu cha kushangaza tumekuwa tukivichukulia vitendo kama mapenzi- mtu akikuonyeshea wivu kwa stahili hii tunaichukulia kuwa yes watu watajua mume/mke wangu ananipenda sana kiasi cha kutotaka mtu mwingine anishike kiuno wakati wa kucheza WAKATI picha halisi inayosomeka hapa ni kuwa SIMUAMINI MWENZI WANGU ina maana Mke wa Best man anaonyesha hamwamini mume wake kuwa 'anawezamtongoza Matron- yeye ni bingwa wa kutongoza. Na mume wa Matron naye anaonyesha kuwa -Mkewe ni weak na hawezistahamili mitongozo ya watu wengine mwe!!
 
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli.....

yaani huo wivu ni saa ya kufungua mziki tuu,?? kama mkeo/mumeo sio mwaminifu atafanya tuu analolitaka hata ukimkataza asicheze mziki, siajabu washapeana namba za simu kwa mawasiliano zaidi, wewe kama unawivu moja mkataze asisimamie kabisa au ukimruhusu mwambie afungue mziki lakini asishiwe kiuno au kukumbatiwa vinginevyo wanaharibu sherehe jamani
 

i totally agree with u.., its a sign of weakness na kutokujiamini , na pia kuiga mambo-usasa- kusikuwa- na mpangilio, kwa vile kwenye harusi ya fulani matroni mumewe alikuja kucheza nae so wanadhani hiyo ndio fashion kumbe wanachofanya ni kuutangazia umati weakness zao.
 
Nailyne... if your man or woman is around... Why would you want to dance with another??
Kwani kuna ubaya gani patron na matron wasiwe mume na mke?
Au ndio unakuta Patron anaendana na Bw. Harusi lakin wake zao hawaendani ndio atafutwe Matron mwingine?
Ni lazima waendane kimaumbo kwanza?
Ndo maana mi niponipo sana tu,
Sitaki kukurupuka sababu sitaki kuumia
 

shark hilo nalo neno, lakini kuna mambo mengi yanachangia, zamani dini zilikuwa strict kuhusiana na suala hili,wasimamizi lazima wawe mke na mume,watu walikuwa wanasimamiwa harusi na watu hata hajuani nao sana ili mradi kutimiza masharti ya dini, lakini siku hizi ni zaidi ya dini, economic factor pia inachangia,ukiwa msimamizi wa harusi uje gharama za nguo,viatu juu yako,wachache wananuliwa na maharusi,bado mchango hamjatoa!! kingine unaweza ukampata best man mkewe mara akawa ni mja mzito, au katoka kujifungua, au mke na muwe hawaishi mkoa mmoja, na usasa pia unachangia kila mtu anataka asimamiwe na best friend wake bi harusi anamtaka rafiki yake bwana harusi na yeye anamtaka best wake pia..upo!
 
Mimi na Mke wangu tumekubalina mtu akitaka tusimamie harusi yake lazima tuwe wote na gharama tunajibebea wenyewe basi. Hakuna mimi kwenda pekee yangu au yeye pekee yake, full stop
 
Kwangu mimi kuepusha mambo yasiyo ya lazima anayetaka niwe bestman lazima pia niwe na Mke wangu zaidi ya hapo hakuna nafasi hiyo kwetu
 
Kwangu mimi kuepusha mambo yasiyo ya lazima anayetaka niwe bestman lazima pia niwe na Mke wangu zaidi ya hapo hakuna nafasi hiyo kwetu

better that way!
 
Reactions: SG8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…