Best Nasso: Msanii mwenye kipaji cha hali ya juu asiekuwa na bahati

Mkuu nilikuwa sijui hili, lakini huyu bwana hana show za kumtambulisha kwa wapenzi wake kama wasanii wengine maarufu
huyu show akifanya kwenye mabasi labda na kwenye maboda boda yani kinacho nikera kila basi utakalopanda lazima kwenye playlist lazima best naso awe na nyimbo mbili. na ukitaka kumsikiliza labda uwe msikilizaji wa DJ Arongo humpa air time sana.
 
Kwani ni celebrity? Ebu peleka hii kwenye jukwaa la matangazo, akishakuwa maarufu utamleta humu
teh teh Mkuu ina maana BEST NASO anazidiwa umaarufu na Babu yake BADILI TABIA?
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa nyimbo zake zinapendwa na madereva wa bodaboda....ukute dere kaiweka mweh utahisi upo ukumbini

Teh teh huwa naamini madereva bodaboda wengi wao wana matatizo ya vichwa kabisa yani mtu anapiga mziki hadi unajiuliza mara mbili kama ni mzima.....
 
Teh teh huwa naamini madereva bodaboda wengi wao wana matatizo ya vichwa kabisa yani mtu anapiga mziki hadi unajiuliza mara mbili kama ni mzima.....
Yani akikupakia abiria njia nzima unahisi aibu tu...
 

eti nini..? Ntakua wa mwisho kuamini hicho kitu
 
Wasubiri miujiza ya Allah! Shetta nae sijui anafanya kitu gani kwenye industry ya mziki nae ajiunge na kina best naso hana anacho kifanya

bora Sheta kuna Yule mtoto anayepwerepwetwa na kikongwe chake yani nyimbo zao wote wawili kapa
 
Huyu jamaa anajua mziki tatizo nadhani management mbovu
 
eti nini..? Ntakua wa mwisho kuamini hicho kitu

Yaap ipo hivo,

kabla hajatoa shikorobo, kwa show alikuwa anapokea mil 4/5 humooo...

baada ya shikorobo akapandisha ikawa hivyoo, ambapo kitz ni 10 mil(ila alipotangaza bei ilikuwa ni mil 9 kutokana na kupanda kwa dola), na unaweza kuona tokea ametoa shikorobo mwezi wa tatu mwanzoni, na bei mpya show zilikuwa hazipatiksni sababu ya bei mpya kwa show, mpaka mwezi wa 25 april ndio akaanza na iringa zaidi ya mwezi na nusu alikuwa kachill bila kazi... baada ya hapo milango ikaendelea kama kawa mei mosi zari all white party, tar 2 mei mwanza instagram party hivoo yanii.....
 

Abadilike sio kila nyimbo aimbe shida zake alizopata kijijini wakati alipokua analima na alipokua anaishi kwenye mazizi ya ng'ombe.tena analia kabisa utadhani tabu zake zinatuhusu. Abadilike kwani hata kiba na domo wana shida zao lakini hawatuimbii na kutulilia.wanaangalia soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…