Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwel unalolisema, ubora wake anaufaham vizuri D,jaro Arungu ndo huwa anacheza nyimbo zake saaaaaana!!
Anaimba nyimbo za jadi huyo
huyu show akifanya kwenye mabasi labda na kwenye maboda boda yani kinacho nikera kila basi utakalopanda lazima kwenye playlist lazima best naso awe na nyimbo mbili. na ukitaka kumsikiliza labda uwe msikilizaji wa DJ Arongo humpa air time sana.Mkuu nilikuwa sijui hili, lakini huyu bwana hana show za kumtambulisha kwa wapenzi wake kama wasanii wengine maarufu
teh teh Mkuu ina maana BEST NASO anazidiwa umaarufu na Babu yake BADILI TABIA?Kwani ni celebrity? Ebu peleka hii kwenye jukwaa la matangazo, akishakuwa maarufu utamleta humu
Huyu jamaa nyimbo zake zinapendwa na madereva wa bodaboda....ukute dere kaiweka mweh utahisi upo ukumbini
Yani akikupakia abiria njia nzima unahisi aibu tu...Teh teh huwa naamini madereva bodaboda wengi wao wana matatizo ya vichwa kabisa yani mtu anapiga mziki hadi unajiuliza mara mbili kama ni mzima.....
teh teh Mkuu ina maana BEST NASO anazidiwa umaarufu na Babu yake BADILI TABIA?
acha hizoo, shetta yupo vizuri ukitaja wasanii 5 kutoka bongo wanaofanya poa international shetta hakosi, kwa show ndani sahivi anapata zake mpunga dola 5000 ambayo ni zaidi ya mil 10 tshs unaona anacheza hapo??? na ubalozi wa star times juu??? aaaaaaaaaaaaarggg
Wasubiri miujiza ya Allah! Shetta nae sijui anafanya kitu gani kwenye industry ya mziki nae ajiunge na kina best naso hana anacho kifanya
eti nini..? Ntakua wa mwisho kuamini hicho kitu
Salaam wana JF, kuna msanii mwenye kipaji cha hali ya juu lakini hana bahati, hapa namaanisha kuwa nyimbo zake hazichezwi sana redioni wala kwenye TV. Lakini ukiangalia nyimbo zake Zina ujumbe mzuri na muziki mzuri kwa ujumla. Sijui kwanini huwezi msikia kwenye tuzo wala show mbalimbali, sasa labda sijui shida iko wapi, hana management au nini. Waungwana naomba tusaidie kumshauri..