Ulikua unawafanya nini hao vijana mpaka wapige hiyo ngoma mara kwa mara.??Ni kweli
House boys wa nyumbani kwetu wooote hawakosi nyimbo zake
Ilifika kipindi nikaanza kuikariri ile anakwambia 'bora nirudi kwetu kijijini nikaendelee kukata mkaa sjui nini,afu anakwambia maisha haya mimi siwezi,bora nirudie zangu enzi'
Ni kweli
House boys wa nyumbani kwetu wooote hawakosi nyimbo zake
Ilifika kipindi nikaanza kuikariri ile anakwambia 'bora nirudi kwetu kijijini nikaendelee kukata mkaa sijui nini,afu anakwambia maisha haya mimi siwezi, bora nirudie zangu enzi'
HahaHuyo ndo Diamond wa Usukumani. Sio huyo tu, kuna jamaa anaitwa Neyba. Niko naye hapa. Tokea ngoma yake ya uje itoke sokoni, amefulia sana
AhahhaNi kweli
House boys wa nyumbani kwetu wooote hawakosi nyimbo zake
Ilifika kipindi nikaanza kuikariri ile anakwambia 'bora nirudi kwetu kijijini nikaendelee kukata mkaa sijui nini,afu anakwambia maisha haya mimi siwezi, bora nirudie zangu enzi'
Mnamkumbuka Best Nasso?
Hakika huyu jamaa hauwezi msikia sana mijini lakini ingia bush huko na kokoroni kwa wavuvi jamaa ana hit sana.
Natumaini mimi sie pekee yake ambae nimegundua hilo. Unakutaga majamaa au madenti wa mashambani wakiwa simu zao za memory card na zile redio ndogo wanagonga ngoma za best nasso.
Nimeshuhudia sana vijiji vya huku kanda ya ziwa.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Haha kwwliJamaa ni best storyteller. Anajua sana kutoa nyimbo zenye mafunzo
HakikaHuyu jamaa yupo sasa hivi?
Nyimbo zake mpaka leo bado nasikiliza jamaa alikuwa storyteller mzuri sana na maudhui ya kufundisha sana.
Sema ndo hivyo kwa sasa waimba pumba na matusi ndo wanapewa airtime na promo za kutosha.
Mzee wa life is chenjeBEST NASO the King of LAKE ZONE hana mpinzani vijijini huko huwaambii kitu.