MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
[emoji3]Ni kweli
House boys wa nyumbani kwetu wooote hawakosi nyimbo zake
Ilifika kipindi nikaanza kuikariri ile anakwambia 'bora nirudi kwetu kijijini nikaendelee kukata mkaa sijui nini,afu anakwambia maisha haya mimi siwezi, bora nirudie zangu enzi'
Hivi mpaka sasa Dijaro bado anaendesha kipindi chake cha Papaso? Kama bado. Naomba unitumie contact za kipindi PM mkuuDijaro Arungu hawezi kumaliza kipindi bila kupiga nyimbo ya best naso
[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sanaAliwahi kupata msala wa kumla tiGo mwanafunzi huko ushirombo ilikua kisanga
Sijafatilia kitambo sana ila naskia kashaacha kazi TBCHivi mpaka sasa Dijaro bado anaendesha kipindi chake cha Papaso? Kama bado. Naomba unitumie contact za kipindi PM mkuu
π€£π€£π€£ Usitutoe kwenye mada mkuuSawa mkuu....
Kwani huyo ni mteuliwa wa jimbo gani??
Hivi huyo msanii yupogo doh!
Nakumbuka 2007 kila dijaro arungu akiwa kwenye kipindi chake lazima apige ngoma ya best nasso TUUMAJamaa yake dijaro arungu kaacha kazi TBC !
Hayupo kabisa...Hivi huyo msanii yupogo doh!
Nyota imekufa sio kufifia !Hayupo kabisa...
Joanah naomba kibarua hapo kwenu mkuu, nina utalaam wa kutunza bustani...kupigisha story watoto wa boss na kuwafurahishaNi kweli
House boys wa nyumbani kwetu wooote hawakosi nyimbo zake
Ilifika kipindi nikaanza kuikariri ile anakwambia 'bora nirudi kwetu kijijini nikaendelee kukata mkaa sijui nini,afu anakwambia maisha haya mimi siwezi, bora nirudie zangu enzi'
Hee arungu katema TBC Fm? Kaenda wapi sasa maana jamaa aliiwezea sana TBC pale.Jamaa yake dijaro arungu kaacha kazi TBC !
Ebwanaee ilikuaje hiyoAliwahi kupata msala wa kumla tiGo mwanafunzi huko ushirombo ilikua kisanga
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kamla dent tena Tigo, asee jamaa akiona inafaa atugemee kulitokea nn na iliishajeEbwanaee ilikuaje hiyo
Ni kweli