Best Nasso na mashabiki wake wa vijijini

Best Nasso na mashabiki wake wa vijijini

Dijaro Arungu hawezi kumaliza kipindi bila kupiga nyimbo ya best naso
 
Ata Sumbawanga ndani ndani uko Brother K na Futuhi yake watu wanatoa kiingilio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli

House boys wa nyumbani kwetu wooote hawakosi nyimbo zake

Ilifika kipindi nikaanza kuikariri ile anakwambia 'bora nirudi kwetu kijijini nikaendelee kukata mkaa sijui nini,afu anakwambia maisha haya mimi siwezi, bora nirudie zangu enzi'
Joanah naomba kibarua hapo kwenu mkuu, nina utalaam wa kutunza bustani...kupigisha story watoto wa boss na kuwafurahisha
 
Ni kweli

House boys wa nyumbani kwetu wooote hawakosi nyimbo zake

Ilifika kipindi nikaanza kuikariri ile anakwambia 'bora nirudi kwetu kijijini nikaendelee kukata mkaa sijui nini,afu anakwambia maisha haya mimi siwezi, bora nirudie zangu enzi'

Manyanyaso nimekataaa weee...
Utumwa wa penzi sijazoea.....
.......nyumbani kwetu ni maskini sawa
Lakini si ulikuta naishi bwana

Hatari goma hilo 😂😂😂
 
Joanah nimemuomba kazi hata hajanijibu. Nisaidie tumbembeleze
 
Ukizunguka vijijini, unaexperience mambo tofauti kabisa na mjini.

Nilikua Sengerema kipindi fulani, kuna kijiji kimoja kinaitwa Nyamterera, jioni tumekaa tunapiga vyombo, bia ni balimi tu, pombe kali ni Shinwa, shujaa. Usiku tunaambiwa kuna wasanii hapo kwenye ukumbi tulikokua tunanywea. Hao wasanii wanaimba nyimbo za kimila, ni muimbaji na dancers wake kama 4 madem, ukumbi ulijaa hakuna pa kukanyaga. Ukitoka nje, baiskeli zimejaa.

Nikaambiwa show analipwa laki 2 hadi laki 5. Kiangazi tu ndio show zinapigwa.
 
Back
Top Bottom