ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Wangapi Hadi leo bado mna tamani kuiangalia ile filamu ya "Best of the best" au "andhaa kanoon" au "JanDushman" au "Hard way" au "No retreat No surrender"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahenga tulikuwa tunashindwa kutamka hilo jina basi tulikuwa tunaiita "hamza kanuni" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo movie 'Andhaa kanoon' iliniliza sana [emoji24][emoji24]
[emoji3][emoji3][emoji3] kwani kale kasongi kake haujakasikiliza vizuri?Wahenga tulikuwa tunashindwa kutamka hilo jina basi tulikuwa tunaiita "hamza kanuni" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Picha hizi hapoWangapi Hadi leo bado mna tamani kuiangalia ile filamu ya "Best of the best" au "andhaa kanoon" au "JanDushman" au "Hard way" au "No retreat No surrender"
Nime ziambatanisha kwenye post“Picha basi ata kdgo wengne akili hasomi alaka bila picha"...Asante kw kunsikilza
Nimeisahau ile ya Arnold Commando tulikuwa tunaita arnold kigogo au Arnold ya jenii alaf pia Kuna deadly prey ambayo iliitwa komando kipensiHata sasa zikiwekwa naangalia vizuri saana