Best oil viscosity for Rav4 killtime

Best oil viscosity for Rav4 killtime

Baringongo

Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
97
Reaction score
90
Wakuu naomba kufahamishwa oil nzuri kwa Toyota rav4 iliyo na D4 engine. Hasa viscosity ya oil sio Brand
 
Ningekushauri.....google USER MANUAL ya hiyo RAV4 mle ndani wameelekeza kila kitu kuhusu aina gani ya oil utumie kulingana na mazingira uliyopo...

Hapa kila mtu atakuambia lake.....kumbuka aina fulani ya oil ikifanya kazi vizuri kwenye engine fulani, haina maana oil hiyo itafaa kwenye injini yako....

So you better go for what manufacturer says.
 
Unatumia oil kulingana na guide ya gari husika rav 4 nyingi wanaonyesha kutumia oil ya 5w30 full synthetic ni nzuri zaidi
 
Mie nikichukua hii haifanyi vizuri. 0W - 20 naipenda na huwa naisikia gari imebadilika
Ni injini gani hii? Unaweza ona gari inachanganya mapema, lakini vyuma vikawa vinasagana sababu uzito wa vilainishi ni mwepesi. Baadae unaingia gharama ya kubadili injini.
 
Ningekushauri.....google USER MANUAL ya hiyo RAV4 mle ndani wameelekeza kila kitu kuhusu aina gani ya oil utumie kulingana na mazingira uliyopo...

Hapa kila mtu atakuambia lake.....kumbuka aina fulani ya oil ikifanya kazi vizuri kwenye engine fulani, haina maana oil hiyo itafaa kwenye injini yako....

So you better go for what manufacturer says.
Noted
 
Mie nikichukua hii haifanyi vizuri. 0W - 20 naipenda na huwa naisikia gari imebadilika
Hiyo 0w-20 inafaa sana maeneo yenye baridi kali.

Kwenye maeneo yenye joto Kali kama dar itamsumbua sana.
 
Back
Top Bottom