Baringongo
Member
- Dec 12, 2016
- 97
- 90
Wakuu naomba kufahamishwa oil nzuri kwa Toyota rav4 iliyo na D4 engine. Hasa viscosity ya oil sio Brand
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuChukua 5w30 itakufaa zaidi mkuu
Mie nikichukua hii haifanyi vizuri. 0W - 20 naipenda na huwa naisikia gari imebadilikaChukua 5w30 itakufaa zaidi mkuu
5w30 Gari linakua vip mkuu? Uzito katika kuchangany unaongezeka?Mie nikichukua hii haifanyi vizuri. 0W - 20 naipenda na huwa naisikia gari imebadilika
Unatumia oil kulingana na guide ya gari husika rav 4 nyingi wanaonyesha kutumia oil ya 5w30 full synthetic ni nzuri zaidiNingekushauri.....google USER MANUAL ya hiyo RAV4 mle ndani wameelekeza kila kitu kuhusu aina gani ya oil utumie kulingana na mazingira uliyopo...
Hapa kila mtu atakuambia lake.....kumbuka aina fulani ya oil ikifanya kazi vizuri kwenye engine fulani, haina maana oil hiyo itafaa kwenye injini yako....
So you better go for what manufacturer says.
Mie nikichukua hii haifanyi vizuri. 0W - 20 naipenda na huwa naisikia gari imebadilika
Ni injini gani hii? Unaweza ona gari inachanganya mapema, lakini vyuma vikawa vinasagana sababu uzito wa vilainishi ni mwepesi. Baadae unaingia gharama ya kubadili injini.Mie nikichukua hii haifanyi vizuri. 0W - 20 naipenda na huwa naisikia gari imebadilika
NotedNingekushauri.....google USER MANUAL ya hiyo RAV4 mle ndani wameelekeza kila kitu kuhusu aina gani ya oil utumie kulingana na mazingira uliyopo...
Hapa kila mtu atakuambia lake.....kumbuka aina fulani ya oil ikifanya kazi vizuri kwenye engine fulani, haina maana oil hiyo itafaa kwenye injini yako....
So you better go for what manufacturer says.
Hiyo 0w-20 inafaa sana maeneo yenye baridi kali.Mie nikichukua hii haifanyi vizuri. 0W - 20 naipenda na huwa naisikia gari imebadilika