Nashukuru mkuu... Kwa sasa sipo dar, nipo mkoani huku... Kwama unafahamu chochote kwa budget hio ntashukuru sana!Ungesema na location maana Kama upo DSM inakuaga Rahisi kuja kuangalia ubora wa kitu unachohitaji kwa macho then andaa 20k ya dalali hapo narudi.
Ebu utaje location uliyopo ili wadau wakufikie kwa ukaribuNashukuru mkuu... Kwa sasa sipo dar, nipo mkoani huku... Kwama unafahamu chochote kwa budget hio ntashukuru sana!
Zimepanda sana bei hizi ila anaweza kupata kwa kulenga.epson ndoprinter nzuri kwa sasa, wino wake sio expensive na zinafanya kazi hyo na kwa budget yako nazani epson 3110 itakufaa na haitumui cartilage inatumia wino wa maji which is cheap na nazani ni 330000
Ahsante sana mkuu... Umenifungua macho, sasa najua ninwapi kwa kuanzia.epson ndoprinter nzuri kwa sasa, wino wake sio expensive na zinafanya kazi hyo na kwa budget yako nazani epson 3110 itakufaa na haitumui cartilage inatumia wino wa maji which is cheap na nazani ni 330000
Epson ni Printer nzuri sana na zina Quality kubwa safi.Wakuu,
Nahitaji printer kwa budget hio hapo juu. Printer iwe na sifa zifuatazo:
-Mpya
-Uwezo wa kuprint, photocopy na kuscan
-Wino wake usiwe bei sana
-Maintenance yake iwe cheap
Wataalamu naombeni Mnisaidie katika hili, sina uzoefu wowote na mambo ya printer.
Natanguliza shukrani
Epson ni Printer nzuri sana na zina Quality kubwa safi.
Tatizo ni bei zake na Budget yako huwezi pata Printer za Epson,
Naona Wadau wanashauri upate Epson L3110 lakn sasa hivi hiyo imesimama kwa 480,000 hadi 460,000.
Ipo L382 ambayo ni 430,000 hadi 420,000.
Kwa Budget yako labda uchukue Printer za Kampuni ya CANON ambazo Unaweza kupata hadi za 250,000 hadi hiyo 300,000
Inategemeana na kazi ya kwenda kufanya, but kwa mhusika kasema anahitaji ambayo upatikanaji wa wino na matengenezo ya Urahisi ndo maana mm nilimpendekezea CANON kwa sababu ya gharama na zinapiga kazi vizuri na wino na maintainance ni rahisi sanaaa.printer mkuu zipo adi za 80000 na zimesimama hatari ila sasa wino wake 40000 unaisha pia haraka kwaiyo issue huwa ni wino tu
Shukran sana mkuu kwa maelezo mazuri kama haya...Epson ni Printer nzuri sana na zina Quality kubwa safi.
Tatizo ni bei zake na Budget yako huwezi pata Printer za Epson,
Naona Wadau wanashauri upate Epson L3110 lakn sasa hivi hiyo imesimama kwa 480,000 hadi 460,000.
Ipo L382 ambayo ni 430,000 hadi 420,000.
Kwa Budget yako labda uchukue Printer za Kampuni ya CANON ambazo Unaweza kupata hadi za 250,000 hadi hiyo 300,000
epson ndoprinter nzuri kwa sasa, wino wake sio expensive na zinafanya kazi hyo na kwa budget yako nazani epson 3110 itakufaa na haitumui cartilage inatumia wino wa maji which is cheap na nazani ni 330000
Bei inaanzia Shngap mkuu?
Normal papers na Normal glossy papersprinter zipo za bei mbalimbali inategemea unataka kuprint nini, kama ni hizi white paper za kawaida au unataka kuprint proffesional vitu kama posters, karatasi za mterezo nk.
Labda bijue unataka kufanya nini ndio nikusaidie