Best printer kwa gharama ya 300,000/=

Best printer kwa gharama ya 300,000/=

Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Huu uzi nimeupenda bure hebu wataalamu endeleeni ili akina "sijui kitu" tujifunze zaidi


Nilihangaika sana juzi mtandaoni kutafuta "all in one printer" nzuri paka sasa nimepata mwanga nikienda kariakoo niulize printer epson 3110... Mkija hebu gusieni na laptop au desktop maana nataka kufungua kiofisi uchwara mie!
 
Wakuu,

Nahitaji printer kwa budget hio hapo juu. Printer iwe na sifa zifuatazo:

-Mpya
-Uwezo wa kuprint, photocopy na kuscan
-Wino wake usiwe bei sana
-Maintenance yake iwe cheap

Wataalamu naombeni Mnisaidie katika hili, sina uzoefu wowote na mambo ya printer.

Natanguliza shukrani
Tupe mrejesho
 
Back
Top Bottom