Best printer kwa gharama ya 300,000/=

L382 hio chombo nimeitumia Sana Ni nzuri na inabebeka kirahisi
 
Epson Chukua kati ya hizi.
1. L805 - 550,000
2. L3110 - 460,000
Mkuu hv naweza kupata Canon printer yenye properties kama za aina hizi za printer? Maana nmeona kuwa CANON bei zake ziko chini kidogo.
 
Mkuu hv naweza kupata Canon printer yenye properties kama za aina hizi za printer? Maana nmeona kuwa CANON bei zake ziko chini kidogo.
CANON zipo ambazo zina
Scan
Print
Copy
Colored piah.
Quality ya printing ya Canon na Epson huwezi linganisha.
Alafu pia uwezo wa Kuprint Grossy Canon sio ya uhakika sana.
Japo na yenyewe inapiga tu kazi fresh.
 
Mkuu hv naweza kupata Canon printer yenye properties kama za aina hizi za printer? Maana nmeona kuwa CANON bei zake ziko chini kidogo.
Usinunue printer yoyote tofauti na Epson
Utanunua printer kwa bei rahisi ikakugharimu kwenye wino, na utengenezaji natumia epson l310 na 382 ziko vizuri quality na wini ni cheap, kuna wino wa 2500 na wino wa 5000 kwa chupa ya rangi moja
Bei za hizi printer zinaanzia 450,000 na kuendelea inategemea unanunua wapi, kutengeneza kwake ni rahisi
 
CANON zipo ambazo zina
Scan
Print
Copy
Colored piah.
Quality ya printing ya Canon na Epson huwezi linganisha.
Alafu pia uwezo wa Kuprint Grossy Canon sio ya uhakika sana.
Japo na yenyewe inapiga tu kazi fresh.
Sawa sawa... Nmekuelewa mkuu, kwa maelezo haya EPSON bado hana mpinzani
 
Ahsantee kwa ushauri huu mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…