Best printer kwa gharama ya 300,000/=

Hizi Epson L3110 ni chenga, sio imara sana. Labda uchukue hizo L300 na L800 series, hizo ni mkataba.

Vya bei rahisi vitakuja kukuzingua, ni heri ukaingia mfukoni mara moja ila ukichukua kitu umechukua.
Epson kwa Printer za kawaida anaongoza kwa kutoa vitu vizuri sana.
Shida ya kudumu au kutodumu ni wewe na kazi zako na matumizi yako.
 
Kwa hiyo sifa ya kwanza tu nakushauri ujipange kwanza. Jiandae kugharamia hiyo printer na pengine kupata hasara zaidi
 
Mkuu, ni printer ipi Bora kwa picha za passport size?
 
Nunua epson l3110, L3150, L805

Au tafuta used L382 madukani zipo. Hautajutia
Hv paper weight ina effect yoyote kwenye printer? Yaan labda ikiwa kubwa ikaharibu printer?

maana kuna mdau aliniambia hizo karatasi za kutolea passport size zina weight around 240gms hadi 269 gms, weight ambayo ni kubwa kidogo ukilinganisha na uwezo wa hizi Epson l3110, 3150, l3250
 
Mwenye uzoefu na printer za Duplex (double sided printer). Wengine wanadai zinasumbua
 
L805 na L3110

Zote zina print hadi Grossy ila L805 inauwezo wa kuprint hadi grossy za gram 280.
Ila L3110 inavuta grossy zenye gram kubwa kwa shida na inaweza pelekea hadi machine kuua header.

Mkuu Shanley , naomba ushauri wako...

Nahitaji printer ndogo imara (reliable) yenye unafuu kwenye maintenance & running costs, kwaajili ya home office, iwe na sifa zifuatazo:

1. Copy
2. Print document
3. Print picture (quality nzuri)
4. Scan.

N.B: Iwe na 'wireless' feature.
N.B: Iwe mpya or used.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…