best proposal ever

best proposal ever

very nice,nimeogopa kweli alivyodondoka.....lol
 
Watu wengine wagonjwa wa moyo wanaweza kushtuka vibaya...
 
Du jamaa ni mbunifu sana na yataka moyo kufanya hivi maana angekosea tu kifo!
 
sawa huna AIRBAG ila waweza kutua kwa kichwa harafu shingo ikakatia, mazoezi mhimu.
 
Aaaahaahaaahaaaa..... "Dot com hyo"
 
Saint Ivuga hongera, posts 15,000 + wewe mkongwe mtu wangu.
Hongera sanaaaa, weka gia hadi ufikishe kilo (laki)

aya. kumbe mimi hata siangaliagia aise. ila siwezi kufika laki kwani soon nitapotea sana hapa jamvini
 
Back
Top Bottom