Best roads in Africa

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Tanzania inazidi kupanda viwango vya juu katika ubora wa barabara Africa, pictures zinaonesha namna pia maisha na mandhari ya Tanzania yalivyo highly developed and appealing

Angalia miundombinu ya umeme, settlement standards, farms and everything, hii inatoa picture kwamba Tanzania ipo way far than it's ordinary neighbours like Kenya





 
Sisi huku Kenya barabara zetu zina mashimo shimo balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo kono za kishoju zilitafuna watu wengi. Hila mchna ni hatar
Pongez kwa wananchi kutoa kodi
 
Achana na hawa mbwa, they will take you in cycles yet they all know the truth. They are only trying to make themselves relevant.
Huwez kuita watu mbwa kua na adabu
 
Mbona inakaa grade C road
Kuparara,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…