REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Tanzania inazidi kupanda viwango vya juu katika ubora wa barabara Africa, pictures zinaonesha namna pia maisha na mandhari ya Tanzania yalivyo highly developed and appealing
Angalia miundombinu ya umeme, settlement standards, farms and everything, hii inatoa picture kwamba Tanzania ipo way far than it's ordinary neighbours like Kenya
Angalia miundombinu ya umeme, settlement standards, farms and everything, hii inatoa picture kwamba Tanzania ipo way far than it's ordinary neighbours like Kenya