Best roads in Africa


Sijui waimba mapambio huwa mnapeleka wapi akili zenu kabla hamjaanza kusifu, na matokeo yake mnajisifu ujinga. Tanzania ina chini ya 10% ya barabara zilizowekwa lami, halafu ndio iwe bora barani Afrika kwa ubora wa barabara? Au Afrika yako inahusisha Tanzania, Burundi na Sudani ya Kusini pekee?
 
Majibu kama haya kutoka kwa watu wenye chuki na serikali huwa tunayategemea kuyaona sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama wewe unavyomuimbia mapambio DJ Freeman. Huwezi kumkosoa zaidi ya ndio mzee.
 
Aisee, na wewe pia unajihesabu ni una akili timamu?
 
Majibu kama haya kutoka kwa watu wenye chuki na serikali huwa tunayategemea kuyaona sana [emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi wenzenu (tofauti na nyie) tumegoma kuruhusu watu wafikirie kwa niaba yetu. Tunatumia akili zetu katika kuchanganua mambo. Soma hapa (kama unaelewa English - and I sincerely doubt it).

PIDA Programme
Central Multimodal Transport Corridor
Latest Actual Stage
S4B: Construction (2019)
Project Location
Tanzania
Coordinating Countries
Tanzania
Beneficiary Countries
Burundi, Rwanda, Tanzania, Uganda
Project Dimension
Data not available
Project Description
Rehabilitation and upgrading of the 197 km of road which would be the first toll road in Tanzania (First 100 km 6 lanes and then 4 lanes). The project requires the construction of a new road, adjacent to the existing road, that will give drivers the choice between paying for a superior toll road, constructed to expressway standards, or making use of the existing road. The project comprises four and six lane carriageways, 8 interchanges, 7 toll plazas and weigh bridges as well as a number of bridges.
Tanzania’s Roads Act 2007 recognises the Dar es Salaam – Chalinze – Morogoro road section as part of the main TANZAM Highway and Central Corridor T-1 route which connects Dar es Salaam and its port with land locked neighbouring countries.
Project Objectives and Benefits
The conceptual plans for the 62.2km road recommend a 6-lane expressway standard toll road with services roads, depressed median and safety barriers at the shoulders. A design speed of 120 km/hr. is recommended. To achieve full access, control structures
Traffic volumes on the existing Dar es Salaam – Morogoro road currently exceed the road’s
design capacity, resulting in severe congestion. The associated long travel times and road
safety issues further hamper socio-economic development in the region. The Government of Tanzania, as part of its national development plan, has decided to construct a new toll road to alleviate the congestion and associated issues. The road network in Tanzania currently comprises 91 049km of roads of which 12 786km are categorised as trunk roads, 20 226km as regional roads and the remaining 58 037km as district, urban and feeder roads. However, only 6 578km or 7% of the total road network is paved.

Source:
 
Achana na hawa mbwa, they will take you in cycles yet they all know the truth. They are only trying to make themselves relevant.
We chalii unavutaga bangi ya nchi gani? Ushawahi kuzaa mbwa?
 
Labda akili ya kupinga pinga kila kitu,
Soma kwanza hapa ukimaliza nitakupa nyingine.
 
Wanasema kama kusoma hujui, japo picha huioni?. Hivi kwa akili yako ya kawaida mtu akikuambia Tanzania barabara za lami ni kilometa 8000 pekee hushituki, au wewe hutembei hii nchi ukajionea?.

Sasa wewe kawasabu ya kuokota data bila kufikiria kwa undani, unadhani kila data ni sahihi?. Hiyo source ulikotoa hizo taarifa, imetumia data za TANROAD za 2014 https://www.roadsfund.go.tz/content/road-network-length-and-classification-tanzania-mainland

Sasa hivi mtandao wa barabara za lami ni 18,000Km, ninakuletea link kuthibitisha ninachokuambia, stay tuned.
 
Hawezi akaelewa maana ni pinga pinga FC [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii habari ni yakitambo sana. Ata mpango wa hiyo toll road ambayo ingekua PPP umeshakuwa shelved. Kwa ukubwa wa Tz hiyo 7% uki ipeleka kenya inakua more than 15%.
 
Hii habari ni yakitambo sana. Ata mpango wa hiyo toll road ambayo ingekua PPP umeshakuwa shelved. Kwa ukubwa wa Tz hiyo 7% uki ipeleka kenya inakua more than 15%.

Kitambo ni mwaka gani, 1980?
 
Jionee tena hapa video.

Kitambo ni mwaka gani, 1980?
 

You miss my point, which is this: it is an exaggeration saying Tanzania is among the best in Africa for paved roads network.
 


Mkuu, sitaki kukpinga fikra zako na data zako....ila naomba tufikirie kwa pamoja nje ya box. Nakupa mifano michache tu kisha uijumlishe...Naamini kabisa njia hizi kuu zina lami:
Dar-Mtwara, Mtwara-Tunduma
Dar-Shinyanga, Shy-Mza, Mza-Msoma, Msoma-Tarime, Mza Bukoba kupitia Geita
Shinyanga-Kahama to Kigoma na hata to BKB
Dar - Arusha, Arusha - Dodoma, Dodoma - Kwenda huko kusini kupitia Iringa
Dar - Iringa, Mbeya hadi Tunduma
Dar - Tanga

nakuendelea....Hivi hizi njia ujumla wake ni hizo 8000 km? Serious? Na bado ni njia nyingi tu sijazitaja hapo.
 

I hope umejibu kulinganisha na kile mleta maada alichodai hapa (best roads in Africa) na nilichomjibu kwa kuweka statistics (ambazo zinahusisha financier wa roads infrastructure hapa nchini). Sijahusisha paved kilometres as a row data (kama ulivyofanya wewe). Nitakupa mfano: Mauritius wana chini ya 2000km zenye lami lakini ni 98% paved, Morocco wana 70.4%, Botswana 37% etc. Sasa tukianza kujisifia kuwa tuna best roads network in Africa, tunajilinganisha na Africa ipi?
 
Unajuu hii kujisifu yako nikama a person who masturbates then anasema ako good kitandani. Let others rate your roads, let others rate you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…