Best Song: Superstar - Jay Melody πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Ja melody hajawa hyped vya kutosha ila ni bonge la talent. Mond kama sio kuogopa kufunikwa angemsign Jay kuliko kale kajamaa alikokaokota sijui wapi huko.
 
dogo huwa habadilikagi uimbaji wake ila hachoshi yaani ana melody kali sana.....ataimba anavyoimba ila hizi ngoma mbili ndo ngoma zangu bora kutoka kwake

1) nakupenda
2) mbali nawe
 
Hauna sikio la muziki.... hitsong kwenye hiyo album itakuwa Naodha ndio wimbo mkali.
 
Jay melody umeamua ujianzishie uzi!
 
Usiniache ft phina ....wameua sana haina kelele...lyrics Kali...biti Kali...melody usiseme ...nice collaboration kwakweli.
 
Kijana katoa album nzuri Sana hakika.
Usiniache
Diamond
Mi na wewe
Nahodha

Hizo ngoma hapo juu zote Ni za Moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…