Best Song: Superstar - Jay Melody 🔥🔥🔥

Best Song: Superstar - Jay Melody 🔥🔥🔥

Ja melody hajawa hyped vya kutosha ila ni bonge la talent. Mond kama sio kuogopa kufunikwa angemsign Jay kuliko kale kajamaa alikokaokota sijui wapi huko.
 
dogo huwa habadilikagi uimbaji wake ila hachoshi yaani ana melody kali sana.....ataimba anavyoimba ila hizi ngoma mbili ndo ngoma zangu bora kutoka kwake

1) nakupenda
2) mbali nawe
 
Kheri ya siku ya maazimisho ya Muungano!

Baada ya kutulia kwa muda nimeamua kutembelea YouTube. Huko nimekutana na album mpya ya Jay Melody, kiukweli sikuwa na idea kwamba Jay Melody katoa album.

Huko nimekutana na ngoma kali ya Superstar. Humu mikono ya GeniusJini imekaa vyema.

Link hii hapa kaisikilize

View: https://youtu.be/Pftv1tswMNw?si=DAO5BZXq6Bhc58D0

Hauna sikio la muziki.... hitsong kwenye hiyo album itakuwa Naodha ndio wimbo mkali.
 
Jay melody umeamua ujianzishie uzi!
 
Kheri ya siku ya maazimisho ya Muungano!

Baada ya kutulia kwa muda nimeamua kutembelea YouTube. Huko nimekutana na album mpya ya Jay Melody, kiukweli sikuwa na idea kwamba Jay Melody katoa album.

Huko nimekutana na ngoma kali ya Superstar. Humu mikono ya GeniusJini imekaa vyema.

Link hii hapa kaisikilize

View: https://youtu.be/Pftv1tswMNw?si=DAO5BZXq6Bhc58D0

Usiniache ft phina ....wameua sana haina kelele...lyrics Kali...biti Kali...melody usiseme ...nice collaboration kwakweli.
 
Kijana katoa album nzuri Sana hakika.
Usiniache
Diamond
Mi na wewe
Nahodha

Hizo ngoma hapo juu zote Ni za Moto.
 
Back
Top Bottom