Best Tanzanian Universities

Mm nimesoma out BA Econ aisee mtu wa UD namkimbiza kama mwizi wasikutishe
Degree yangu yakwanza nimechukulia pale nilikua nazikimbiza sana hizo pimbi kwenye interviews na vibaruani performance wise kipindi nategemea utumwa kuishi
 
Sioni chuo chetu Cha Muslim University of Morogoro
 
Hii taarifa ni ya lini? How comes DIT inakuwa chini ya St.Joseph?
 
Utopolo tupu,
Kama hujasoma
MiT Yale, Oxford, LSE, au Duke achana na hizi time wasters
Exactly, nimesoma kwenye university ambayo ipo nafasi ya 8 kwenye world raking, mtu akileta hizi uni ambazo zipo nafasi za 2, 200 nakuwa sielewi kabisa...
 
Exactly, nimesoma kwenye university ambayo ipo nafasi ya 8 kwenye world raking, mtu akileta hizi uni ambazo zipo nafasi za 2, 200 nakuwa sielewi kabisa...
Huna lolote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…