Best Tanzanian Universities

Best Tanzanian Universities

Mwisho wa siku na akili ya mtu inahusika sana,unaweza kusoma mlimani ukatoka na gpa mbovu na unaweza kusoma open ukatoka na gpa bora kabisa
Ubora wa chuo plus juhudi za mwanafunzi ndio huleta elimu bora. Mbona huko UDSM wanafunzi wana disco sana tu.
 
Ila sasa ubaya ni kwamba wote hawa wakimaliza kusoma wanakutana mtaani wakihangaika na bahasha zao za kaki bila matumaini yoyote,
Kazi siku hizi ni conections/undugu na sio uwezo wa mtu. Ni taasisi chache sana ndio huzingatia uwezo na juhudi za mtumishi ila nyingi ni za kujuana.
 
Mm nimesoma out BA Econ aisee mtu wa UD namkimbiza kama mwizi wasikutishe
Hakuna uhusiano wowote ule baina ya uwezo wa mwanafunzi na ubora wa chuo ndio maana hata top 10 ya wahitimu wa kidato cha sita wapo wanaotoka katika shule ya ada nafuu.
 
Ruaha Catholic university( rucu) 43

2755256_Screenshot_20210427-1858372.jpg
 
SUZA tumejikunyata
Hahaha....hata mimi nimesoma kwenye hivi vyuo vyetu vya ndani mkuu siwezi kuvibeza, ka-phd ndo nikapata shavu huko mbele, anyway hizo ranking zinaangalia vigezo kibao na haimaanishi kwamba vyuo ambavyo vipo kwenye nafasi za juu vina ubora mkubwa sana wa elimu kuliko vingine....
 
Back
Top Bottom