"""best ???tunakumis daima

hivi kwa nini msitaje jina lake la hapa jf ili tuwe na uelewa wote?????????/

Marehemu Regina Luhanga.
alipata ajali Korogwe 2006 ama 2007 akiwa na Marehemu Esther Maruma... Esther alifariki palepale ila Regina alifariki baada ya wiki moja kama sikosei...

Marehemu Regina Luhanga.

alipata ajali Korogwe 2006 ama 2007 akiwa na Marehemu Esther Maruma... Esther alifariki palepale ila Regina alifariki baada ya wiki moja kama sikosei...

Roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani, amen!

Dah! nimeiona hiii picha imenistua sana, Regina was the best friend kwa kila mtu aliyekuwa anamfahamu,though zimepita siku nyingi lakini inaonekana kama ndoto vile
RIP Regina

Pole sana Mungu amlaze mahali pema peponi! Wadau mi sielewi maana yake nini au kirefu chake ni nini hilo neno R.I.P, kuna watu kama wawl hv wametumia hilo neno hapo juu nisaidieni jamani.

Mkuu hii ni kifupi cha neno 'Rest In Peace'yaanikumtakia pumziko la amani

Ninawamiss sana wadogo zangu hawa.... They were two of a kind and the future was bright

Mungu yu Mwema!!!

Dah! nimeiona hiii picha imenistua sana, Regina was the best friend kwa kila mtu aliyekuwa anamfahamu,though zimepita siku nyingi lakini inaonekana kama ndoto vile
RIP Regina

was my sweet sis kwa kweli alikuwa friend wa kila mmoja na jina lake la BESSTTTTTTTTTTTTTTTT YAANI KAMA UNGEJUA SIKU FULN ATAKUFA MTU FULANI MUHIMU KWAKO NA UNAUWEZO WA KUSWARP NINGEMBADILISHA NA MKURUGENZI WA EWURA KWA KWELI

Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe
Kama vile maji kupwa katika bahari, Na mto kupunguka na kukatika;
Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini.

RIP mpendwa wetu

Amen

was my sweet sis kwa kweli alikuwa friend wa kila mmoja na jina lake la BESSTTTTTTTTTTTTTTTT YAANI KAMA UNGEJUA SIKU FULN ATAKUFA MTU FULANI MUHIMU KWAKO NA UNAUWEZO WA KUSWARP NINGEMBADILISHA NA MKURUGENZI WA EWURA KWA KWELI
Ndo nini kuchekesha watu katikati ya majonzi?...lol..

Mkuu Basiasi nadhani alikuwa zaidi ya rafiki kwako kwani "ze wei ulivyo-miss..." Alikuwa rafiki yangu pia though alivyoenda TCC tulipotezana... Mpaka nilipopata habari ya ajali na baadaye msiba...Nashukuru Mungu kuwa mimi nilishiriki Mazishi yake Kinondoni...RIP Best...

Rest in peace mpendwa. Alikuwa member wa Jf? tutajieni jina basi kama mnamfahamu. Poleni wote.

pole sana. tujuze jina lake la jf tupate kumtambua vizuri.

ooo yeeeah ndie alinijulisha kuna JF dunian jamani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…