Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
<br />hivi kwa nini msitaje jina lake la hapa jf ili tuwe na uelewa wote?????????/
<br />
Marehemu Regina Luhanga.
alipata ajali Korogwe 2006 ama 2007 akiwa na Marehemu Esther Maruma... Esther alifariki palepale ila Regina alifariki baada ya wiki moja kama sikosei...
