aliyetegwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 313
- 486
Ngoja niweke kambi hapaWakuu habari,
Ningependa kujua best waterproof for walls maana najenga contemporary ila kati ya kitu kinachonipa mawazo kwa aina hii ya nyumba ni kuona ukuta umelowana baada ya kunyeshewa mvua.
Natanguliza shukurani.
Kama una hela ya mawazo achana na contemporary maana hata Aina ya mafundi wako inaonekana wa kuokotezaWakuu habari,
Ningependa kujua best waterproof for walls maana najenga contemporary ila kati ya kitu kinachonipa mawazo kwa aina hii ya nyumba ni kuona ukuta umelowana baada ya kunyeshewa mvua.
Natanguliza shukurani.
Msaada mkuu, mdogo mdogo tutafikaKama una hela ya mawazo achana na contemporary maana hata Aina ya mafundi wako inaonekana wa kuokoteza
Contemporary ndio ujenzi wa aina gani?Kama una hela ya mawazo achana na contemporary maana hata Aina ya mafundi wako inaonekana wa kuokoteza
Umejuaje kama Mafundi wake ni wakuokoteza?Kama una hela ya mawazo achana na contemporary maana hata Aina ya mafundi wako inaonekana wa kuokoteza
Unaweza tumia Bitumen, pamoja na membrane yake.Wakuu habari,
Ningependa kujua best waterproof for walls maana najenga contemporary ila kati ya kitu kinachonipa mawazo kwa aina hii ya nyumba ni kuona ukuta umelowana baada ya kunyeshewa mvua.
Natanguliza shukurani.
Wewe upo mkoa gani mkuu?Msilazimishe kua zinavuja zote.BIG NO. Mafundi wenu mlio watumie nyie hawajui kuhusu hz nyumba. Sw mm mbona haivuji hata tone tu hakuna.mwaka wa pili huu.Na imetoka poa kimyama
Hakikisha ile kozi ya mwisho kabisa (ile ya kulaza) wakati wa kupiga plaster, kule juu pasiwe flat, weka slope either maji yarushwe chini au yarushwe kwenye bati. Ukiweka flat, maji yatatuama na kuanza kufyozwa na kozi ya chini hivyo inafanya unyevu uendelee kusambaa kuchuka chiniWakuu habari,
Ningependa kujua best waterproof for walls maana najenga contemporary ila kati ya kitu kinachonipa mawazo kwa aina hii ya nyumba ni kuona ukuta umelowana baada ya kunyeshewa mvua.
Natanguliza shukurani.
Moja mkoa wa pwani na nyingine jiji la Dar.kote fundi ni mmoja kafanya kazi.Wewe upo mkoa gani mkuu?
Very useful informationHakikisha ile kozi ya mwisho kabisa (ile ya kulaza) wakati wa kupiga plaster, kule juu pasiwe flat, weka slope either maji yarushwe chini au yarushwe kwenye bati. Ukiweka flat, maji yatatuama na kuanza kufyozwa na kozi ya chini hivyo inafanya unyevu uendelee kusambaa kuchuka chini
Kwa mahitaji ya Ramani, Makadirio au Ushauri kuhusu ujenzi tuwasiliane PM