Best waterproof for walls

Best waterproof for walls

aliyetegwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
313
Reaction score
486
Wakuu habari,
Ningependa kujua best waterproof for walls maana najenga contemporary ila kati ya kitu kinachonipa mawazo kwa aina hii ya nyumba ni kuona ukuta umelowana baada ya kunyeshewa mvua.
Natanguliza shukurani.
 
Ngoja niweke kambi hapa
 
Wakuu habari,
Ningependa kujua best waterproof for walls maana najenga contemporary ila kati ya kitu kinachonipa mawazo kwa aina hii ya nyumba ni kuona ukuta umelowana baada ya kunyeshewa mvua.
Natanguliza shukurani.
Kama una hela ya mawazo achana na contemporary maana hata Aina ya mafundi wako inaonekana wa kuokoteza
 
Hongera Ila Chukua Tahadhali Maana Walio Wengi Wanasema Bhalaa Lake Masika
Endapo Fundi Maiko Utakosa Pakutokea
 
Wakuu habari,
Ningependa kujua best waterproof for walls maana najenga contemporary ila kati ya kitu kinachonipa mawazo kwa aina hii ya nyumba ni kuona ukuta umelowana baada ya kunyeshewa mvua.
Natanguliza shukurani.
Unaweza tumia Bitumen, pamoja na membrane yake.
 
Karibu mkuu tutakufanyia water proof treatment Kwa kiwango Cha juu haitakuja kuvuja tena itabaki historia call& Whatsapp 0757735885
Instagram highland _decor_solution
Popote tunakufikia tanzania
 
Msilazimishe kua zinavuja zote.BIG NO. Mafundi wenu mlio watumie nyie hawajui kuhusu hz nyumba. Sw mm mbona haivuji hata tone tu hakuna.mwaka wa pili huu.Na imetoka poa kimyama
 
Wewe upo mkoa gani mkuu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] izi nyumba kuna boss wangu wamemuingiza cha kike zinamtesa balaa yani ni bora angenunua mafuso mabovu kidogo yasingemtesa kama izi nyumba.

Juzi nimesikia wameamua tu kupauwa kawaida kwa iyo yupo kwenye mchakato wa kuomba mkopo ili wazipauwe upya.
 
Wakuu habari,
Ningependa kujua best waterproof for walls maana najenga contemporary ila kati ya kitu kinachonipa mawazo kwa aina hii ya nyumba ni kuona ukuta umelowana baada ya kunyeshewa mvua.
Natanguliza shukurani.
Hakikisha ile kozi ya mwisho kabisa (ile ya kulaza) wakati wa kupiga plaster, kule juu pasiwe flat, weka slope either maji yarushwe chini au yarushwe kwenye bati. Ukiweka flat, maji yatatuama na kuanza kufyozwa na kozi ya chini hivyo inafanya unyevu uendelee kusambaa kuchuka chini

Kwa mahitaji ya Ramani, Makadirio au Ushauri kuhusu ujenzi tuwasiliane PM
 
Very useful information
 
Back
Top Bottom