Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Basi ya uvuguvugu na wewe mhh! Usije ukatumia yenye makaa!
Haya nitajaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ya uvuguvugu na wewe mhh! Usije ukatumia yenye makaa!
Haya nitajaribu
ah ah ah ah...! uwiii
Ha ha ha..nini tena?
ah ah ah! mie nacheka tu muwe mna yang'oa
Ni kweli njia hii ipo?au utani wenu tu?majivu yanatakiwa yawe yamepoa au ya joto?nijibuni jamani nlitaka kwenda kununua topaz nimerudia njiani.
Kuna hair removal creams unapaka baada ya katika ya dkd 3 - 5 unaaingia kuoga unayatoa, yanakuwa yameinika yanakuacha ngozi kama kulikuwa hakuna kitu.
Ila uangalie vizuri aina as kuna za sensitive skin na za ngozi kawaida tu. kama hujawahi kutumia unashauriwa utumie kidogo sehemu ndogo ili kama ukipata reaaction basi ujue haikufai. ukipata ukaizoea basi yote kwa kwenda mbele unatumia tu.
ulizia kwenye maduka ya vipodozi au pharmacy.
acha kujishaua hapa...nobody has ever graduated in english including your english teacher..
hello jf... je ni njia gani nzuri zaidi kwa ajili ya kuremove nywele za kule chini!!!(m a v u z i)
mawazo yenu....
hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo mashine?
tupe experience yako ulipo jaribuPaka maji ya betri. Njia mbadala, wala haina madhara, nilishatumia.
hahahaaaaa nimecheka pia.wang'oe kama nyasi? mkuuah ah ah! mie nacheka tu muwe mna yang'oa
Wewe ni me au ke?Ahsante kwa elimu.. Nobody is perfect in this world.. but nashkuru umenielewa nilichomaanisha,, so una idea yoyote juu ya suala hili?
acha ujuaji, ukielewa inatosha.Hawaiti kuremove, wanaita ku"shave" halafu sio Private hair,zinaitwa pubic hair.
Jifunze lugha.