Best wishes kwa wanajf candidates kesho

Best wishes kwa wanajf candidates kesho

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Kwaheri div 0 karibu div5! Best wishes kwa members wote mnaofanya national exams kesho. Hope allah atawakumbusha mliyosoma toka form one. Na wale mnaotafuta credit hope this time mtapata tu.

{ur cousin deo corleone,the godson of the godfather)
 
Hivi kumbe mitihani ya form4 kesho?
Kila la heri wadogo zetu.
 
jaman me nashndwa kuelewa hzo grades kwa advanc mbna 1 inaanzia saba tena???
 
Mungu awatangulie na hatimaye mfanye vizuri
 
madogo achaneni na madesa hayana ishu,.

Komaeni na mlichokisoma darasani mtafaulu,.
 
wana jamiiforums tuliwapenda lakini necta imewapenda zaidi tuwatakie vita njema katika mapambano yenu...:target:
 
Hapa bado kuna kitu sijaelewa. Kama Mtoto anaanza Darasa la 1 akiwa na Umri wa Miaka 6, atahitimu Darasa la 7 akiwa na Miaka 12 na hivyo kuwa Kidato cha 4 akiwa na Miaka 16! Hivyo kama uzi huu ni uthibitisho wa kuwepo hapa kwenye Mtandao wa Jamii Wanafunzi wa Sekondari kama Members basi kuna watoto wa Shule Members wenye miaka 17, 16 na pengine chini ya hapo. Hiyo ni hatari kubwa! Wazazi wa Kizazi cha .com tuka kazi kweeelikweli!
 
Back
Top Bottom