Best wishes to all udsm students in your coming exams.

Best wishes to all udsm students in your coming exams.

Mi ndo nalala hapa kama kawa nalalia jf.Kesho saa 2pm nina ki2 cha accounts.
 
Vijana vipi bado tetere huwa anataga (kuvuja paper) kabla ya UE mitaa ya Hall 2,5,7 na 4?
 
Senetor unaingia kwenye UE, have a goodluck, my last UE was around july 2010 in Mzumbe morogoro

dah mkatakiu! Ujue nn npo pale mzumbe dat kaul imenikumbusha pale mkwawa n people ov kukatakiu
 
Kila la heri wadogo zangu. Fanyeni bidii katika mitihani yenu, na karibuni sana kitaa
 
Back
Top Bottom