Erotica aliniaga hapa Arusha kwamba anakwenda kumtembelea college-mate wake
Boflo. Aliondoka 1/5/2013 na mpaka leo hajarudi. Boflo aisee nionee huruma mimi kubaki na mapacha na msichana wa kazi kaenda kwao naye hajarudi.Best yangu Boflo, hebu nieleze kisa cha kumweka
Erotica kwa muda mrefu hivyo, na kila nikipiga simu naambiwa: The number you are calling is currently not reachable!
Sitaki kuruhusu mawazo fulani kuingia kichwani ila nakuomba sana mhimize arudi haraka
Asante best.
Ni mimi hygeia - mkaguzi wa avatar JF