Best Yangu Boflo: Nini Kisa cha Kubadili Avatar Kwa spidi hizo?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Kama kuna mwanaJF anayebadili avatar yake mara nyingi zaidi ya wote huyo atakuwa Boflo. Mwezi wa tano ulipoanza, alikuwa na avatar hii:View attachment 99350 Hii hakukaa nayo muda mrefu, akaja na hii:View attachment 99351 Nayo hii haikudumu,
akabadilisha tena na hii View attachment 99352 Sasa hivi anapiga mzigo na hii:
Sasa Boflo kuna nini kinakuandama mpaka ubadilibadili avatar kiasi hicho? Ile ya mwanzo kabisa ya zenadin zedani akimpiga kichwa mchezaji mwingi ulidumu nayo kwa kipindi kirefu halafu ghafla ukaanza kubadili.
Nini tatizo/siri yako mshikaji?
Wanachitchat kaeni mkijua kwamba nazimonitor avatar zenu closely (it happens to be my interest) na chochote kikitokea ntaandika kwa sababu mimi ni...
hygeia:self-appointed mkaguzi wa avatar JF
 
Last edited by a moderator:
wacha we hygeia:self _appointed mkaguzi wa avatar wa jf
 
Kupanga ni much kuchagua. Nadhani tumpe haki yake ya kidemokrasia.
Sawa Arushaone, hiyo haki anayo, hatujamnyang'anya. Ila kwa kubadili avatar mara nyingi kuna sababu labda. Ningetaka atupe uzoefu wake tujue kinachomsibu.
hygeia, self-appointed chitchat& mmu avatar inspector.
 
Last edited by a moderator:
wacha we hygeia:self _appointed mkaguzi wa avatar wa jf
Si kweli lakini amu? Au nimeweka chumvi? Yaani ukilala ukiamka, jamaa keshabadili avatar. Ile ya mwanzoni ya zenadine
zidan alikaa nayo muda mrefu and then ghafla mchezo ukaanza. Sababu ni nini?
 
Last edited by a moderator:
ndio bwana mkaguzi wa avatar....
Ndo hivyo kabanga. Ukibadili hiyo avatar yako nitakuomba unipe 'experience' yako as to why and how. It is interesting to know why members change their avatars. Sometime ago I changed my avatar and explained why I did so.
 
Last edited by a moderator:
hivi Boflo ni jinsia gani? swali hili ni kwa hisani ya Mamndenyi......
Mamndenyi amekufadhili kuulizia jinsia ya Boflo? For whose interest? Yours or Mamndenyi's? Kama unaikumbuka avatar ya Boflo ya mwanzo kabisa,(zenadine akigawa kichwa) si vigumu kuihisi jinsia ya Boflo. Ok man?
 
Last edited by a moderator:
HYGEIA ww ni noma... ..., kuanzia sasa nitakua makini hapa
jamvini kwa kila nyenendo niifanyayo, na mara
nyingine nabadili nikiambiwa na Erotica hajaipenda
 
Last edited by a moderator:
HYGEIA ww ni noma... ..., kuanzia sasa nitakua makini hapa
jamvini kwa kila nyenendo niifanyayo, na mara
nyingine nabadili nikiambiwa na Erotica hajaipenda
Best yangu Boflo,kubadili avatar si kitu cha siri kiasi cha kunifanya niwe noma kama usemavyo.Nyendo za siri ni kama unavyomficha Erotica na kumwambia asitoke. Kwa hiyo avatar zako zote zinakaguliwa na Erotica kwanza kabla hazijaingia JF siyo? Ndo maana zimekaa kikekike! Sasa naomba unipunguzie hayo mateso unayonipa.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi amekufadhili kuulizia jinsia ya Boflo? For whose interest? Yours or Mamndenyi's? Kama unaikumbuka avatar ya Boflo ya mwanzo kabisa,(zenadine akigawa kichwa) si vigumu kuihisi jinsia ya Boflo. Ok man?

Una maswali mengi!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…