mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Ni mfanya biashara mwenzangu. U best ndo uko huko. Lakini roho ilinishinda ndo nkamtongoza akakataaMwanaume unakuwa na best wa kike?mnaongeaga nn sasa?
Achana na mke wa mtu we jamaa utakuja kupumuliwa nyuma ya shingo uharibikeNi mfanya biashara mwenzangu. U best ndo uko huko. Lakini roho ilinishinda ndo nkamtongoza akakataa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu hana ila roho inamuumaKumekucha
Kuna msichana mmoja hivi alikuwa rafik yangu kitaaaaambo. Ila nilikuja kumtupiaga swaga Lakini akasema HAPANA best Mimi nimeolewa. Nkamwambia WOKEEEEY hakuna neno.
Nikaona nifanye Mambo mengine na tukawa tunaendelea na urafiki wetu Kama kawaida.
Juzi Kati tukakutana mtaani nikiwa na beibe wangu mmoja hivi. Aliponiona tukasalimiana Kama kawaida yakaisha.
Ila siku iliyofuata Sasa ikawa
Kila nikimtumia msg hajib, nikipiga hapokei
Wala hanitaguti teeeeeena
Jaman
WANAWAKE
MUNGU anawaona....
We umenikatalia halaf unanionea wivu ni haki kweli?????
GOD BLESS YOU
Sent using Jamii Forums mobile app
akafie mbele, tena mtafute rafiki yake wa karibu umgalauze.
Ndo atakufa kabisaakafie mbele, tena mtafute rafiki yake wa karibu umgalauze.
This is DarMwanaume unakuwa na best wa kike?mnaongeaga nn sasa?
UongoKumekucha