mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Kumekucha
Kuna msichana mmoja hivi alikuwa rafik yangu kitaaaaambo. Ila nilikuja kumtupiaga swaga Lakini akasema HAPANA best Mimi nimeolewa. Nkamwambia WOKEEEEY hakuna neno.
Nikaona nifanye Mambo mengine na tukawa tunaendelea na urafiki wetu Kama kawaida.
Juzi Kati tukakutana mtaani nikiwa na beibe wangu mmoja hivi. Aliponiona tukasalimiana Kama kawaida yakaisha.
Ila siku iliyofuata Sasa ikawa
Kila nikimtumia msg hajib, nikipiga hapokei
Wala hanitaguti teeeeeena
Jaman
WANAWAKE
MUNGU anawaona....
We umenikatalia halaf unanionea wivu ni haki kweli?????
GOD BLESS YOU
Sent using Jamii Forums mobile app